Résumé

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.

Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha?

Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya “Hatima ya Vibwengo.” Visome vitabu vyote katika mfululizo:

Wanajeshi Shupavu

Moyo wa Jabali

Makaburi Yaliyosahaulika

Filimbi ya Kichawi

Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio.

Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.

Caractéristiques

Collection : Hatima ya Vibwengo

Auteur(s) : Peter Gotthardt

Publication : 27 août 2019

Intérieur : Noir & blanc

Support(s) : eBook [ePub]

Contenu(s) : ePub

Protection(s) : Marquage social (ePub)

Taille(s) : 256 ko (ePub)

Langue(s) : Swahili

EAN13 eBook [ePub] : 9788726254594

Avis

Ouvrages du même auteur

Ouvrages de la même collection

--:-- / --:--